4.9/5
( 779+ reviews)
Features Ndoa App
Ndoa App ni application iliyo undwa kutokana na Kitabu.
Kitabu hiki kimetokana na khutba aliyoitoa Sheikh Nurdin Kishki katika mskiti waIhsaan vetenari, Tanzania tarehe 01/05/2009.
kutokana na umuhimu wa khutba hiikwa waislamu, Nyehunge IT Support waliamua kuikusanya khutba hiyo kutoka katikakitabu kilichoandikwa na Saimu Gwao pamoja na Ukhti Fatma J ili kiwe na manufaakwa wasomaji.
Endapo kutatokea makosa yoyote ya kimaandishi au ya kumnukuusheikh Nurdin Kishki vibaya, ieleweke kua hayo ni makosa ya kibinadamu yawaandaaji.
💬
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Screenshots
See the Ndoa App in Action
Get the App Today
Download on Google Play
Available for Android 8.0 and above